Svenska



Misitu ya mvua ni nini?

Misitu ya mvua ya eneo ya joto ni misitu ambaye ina miti mirefu, hewa ya joto na mvua nyingi. Kwa misitu ya mvua nyingine inanyesha zaidi ya inchi moja kila siku!

Misitu ya vua inapatikana Afrika, Asia, Australia, Amerika ya kati na ya kusini. Msitu wa mvua ambaye ni kubwa zaidi ni msitu wa mvua wa Amazon.




Na Rhett A. Butler




Home | Kila Kitu Kuhusu | English | PDF

2007 Rhett Butler