SvenskaMsitu ya mvua inapatikana wapi?

Misitu ya mvua inapatikana kwa eneo ya jua katikati ya eneo ya Capricorn na eneo ya Cancer Kwa hii eneo, jua inakuwanga joto na inang�ara kwa kiasi sawa kila siku ya mwaka nainafanya hewa ikuwe joto na ya usawa.

Nchi nyingi zina msitu wa mvua Nchi ambacho zina kiwango kubwa zaidi ya msitu wa mvua ni:
  1. Brazil
  2. Jamhuri ya Demokrasia ya Congo
  3. Peru
  4. Indonesia
  5. Colombia
  6. Papua New Guinea
  7. Venezuela
  8. Bolivia
  9. Mexico
  10. Surinam

Na Rhett A. Butler
Home | Kila Kitu Kuhusu | English | PDF

�2007 Rhett Butler