|
|
|
SAKAFU YA MSITU WA MVUA
Majani ya mwavuli inafanya safu ya ardhi ya msitu wa mvua mara mingi uwe mahali ya giza na unyevu. Lakina licha ya mvuli yake daima, sakafu ya msitu wa mvua ni sehemu muhimu ya mazingira ya msitu.
Sakafu ya msitu ndipo uozaji unatokea. Uozaji ni njia ambaye viumbo kama uyoga na zingine ndogo zinazemea mimea na wanyama wasiyo hai na kurejesha vifaa na malisho muhimu.
Wengi wa waanyama kubwa zaidi wa msitu wa mvua wanapatikana kwa sakafu ya msitu. Wengine ni kama ndovu, tapir na jaguar.
Na Rhett A. Butler
|
|