|
|
|
Samaki ya msitu wa mvua
Maji ya misitu ya mvua ya tropiki � ikiwamo mito, viziwa na vinamasi � ni makao ya kiwango kikubwa ya aina ya samaki ya maji safi. Eneo ya Amazon pekee ina juu ya 3000 ya aina inayotambika na labda kiwango kama hiyo isiyojulikana.
Samaki nyingi ya maji safi ya tropiki inayowekwa kwa tangisamaki mwanzo wao ni msitu wa mvua. Samaki kama Angelfish, Neon Tetras, Discus na Kambale zinatoka msitu ya tropiki ya Amerika Kusini na Danios, Gouramis, Siamese na Fighting Fish (au Betta) na Clown Loach zinatoka Asia.
Na Rhett A. Butler
|
|