|
|
|
Watu wa Msitu wa Mvua
Misitu ya mvua ya tropiki ni makao ya watu wa makabila ambayo wanatengemea mazingira yao kwa chakula, makao na madawa. Sasa watu wachache sana wa msitu wanakaa kwa utamaduni wao; wengi wao wameng�olewa na wa setla kutoka nje au wamelazimishwa kubadili miendo ni serikali.
Kwa watu wa msitu wanayo mbaki, Amazon inatengemewa na kiwango kikubwa zaidi hata kuwa hawa watu pia wamenguzwa na dunia ya sasa. Anghalau bado wanatumia msitu kwa kuwinda na kusanya kwa kiutamaduni, Amerindians, kama hawa watu wanaitwa, wanakuza mimea kama (ndizi, manioc na mchele) wanatumia vyombo vya magharibi kama (safuria,virai na vijiko)na wanatembeleya miji mara kwa mara kuleta chakula na vyombo kwa soko. Lakini hawa watu wa msitu wanaweza kutufundisha mengi juu ya msitu wa mvua. Elimu yao ya miti ya dawa ya kutibu magonjwa haina mwingine na wanaelewa sana hali ya msitu wa Amazon.
Africa kuna wenyeji wa msitu wa kiasili wanaojulikana saa zingine kama vibete. Mrefu zaidi wa hawa watu ambaye anajulikana pia kama Mbuti, ni ngumu akizidi futi tano. Muundo wao mdogo unawawezesha kutembea kwa msitu kwa ufanisi mwingi kushinda watu warefu zaidi.
Na Rhett A. Butler
|
|