Svenska



ELIMU YA MITI YA DAWA YA WATU WA KIASILI

Moja wapo wa sehemu changanifu ya utafiti wa misitu ya tropiki ni ethnobotany ambayo ni elimu ya jinsi watu wanatumia mimea asili kutibu magonjwa. Watu wa msitu wana elimu ya kushangaza ya memea ya dawa inayotibu kila kitu kutoka kuumwa na nyoka mpaka kuvu.

Kwa sasa dawa nyingi zinayotumiwa kwa nchi za magaribi zimetengenezwa na mimea na asilimia 70 ya mimiea inayotambulika na Tasisi ya Seretani ya Taifa ya Marekani kuwa na uwezo wa kuzuia seretani zinapatikana tu kwa msitu wa mvua wa tropiki.

Kwa kawaida elimu ya mimea ya dawa inafanwa na Shaman au mganga wa kijiji. Shaman anatibu wagonjwa mara nyingi wakati wa sherehe na ibada za undani akitumia mimea iliyokusanyo kutoka msitu uliozingira.




Na Rhett A. Butler




Home | Kila Kitu Kuhusu | English | PDF

�2007 Rhett Butler