SvenskaNINI ILITENDEKA KWA WATU ASILI WA AMAZON?

Mbele ya dunia mpya kuzumbuliwa na Christopher Colombus karne ya 15 watu kadiri wa 7-10 millioni wa Amerindians (Jina ya watu asili wa Amerika) waliishi misitu ya mvua ya Amerika nusu ya hawa Brazil. Miji mikubwa ilipatikana Andes na Amazon ilitegemewa na jamii za ukulima.

Kuasiri kwa wazungu kulileta mwisho wa ustaarabu asili ya Amerika ya kati na kusini. Wazungu walibeba magonjwa ambayo iliua wa millioni wa Amerindians na ndani ya miaka 100 tango kuasiri kwa wageni hawa, namba ya watu wa Amerindian ilishuka kwa kiwango ya asilimia 90. Wengi walionusurika waliishi ndani ya msitu: Kwa sababu ya kusukumwa huko ni Wazungu au kwa sababu ya kuishi huko kwa kimila kwa vikundi vidogo.
Na Rhett A. Butler
Home | Kila Kitu Kuhusu | English | PDF

�2007 Rhett Butler