Svenska
Indon�sie


WATOTO NDANI YA MSITU WA MVUA

Mbali na kusioangalia TV, kutumia mtandao au kucheza michezo ya video, watoto wa msitu wa mvua wanafanya mambo mengi ambapo labda unafanya. Wanacheza na marafiki, wanasaidia jamii zao na kazi na wanaenda shule. Kwa sababu watoto wa msitu wa mvua wanaishi karibu na dhati kuliko mtoto wa Marekani wa kawaida wanasoma mamba ambayo inayowasaidia kwa mazingira yao. Kutoka miaka midogo watoto wengi wanajua kutega samaki, kuwinda na kukusanya vitu na chakula kutoka msitu. Badala ya kuenda kwa kiwanja ya michezo au kwa maduka kwa burudani, watoto wa mahali kama Amazon wanatumia masaa yao mengi nje wakicheza msituni na kwa mito.


Na Rhett A. Butler
Home | Kila Kitu Kuhusu | English | PDF

�2007 Rhett Butler