|
|
|
MISITU YA MVUA NI MUHIMU KWA NINI?
Misitu ya mvua ni muhimu kwa mifumo ya mazingira ya ulimwengu. Misitu ya Mvua:
- Ni makao ya memea na wanyama wengi;
- inasaidia kuimarisha hewa ya dunia;
- inalinda kutoka mafuriko, ukame na uteremeko ya undogo;
- ni chanzo ya madawa na chakula;
- inategemewa na watu wamakabila; na
- inavutia kutembeleya
Na Rhett A. Butler
|
|