|
|
|
MISITU YA MVUA INASAIDIA KUIMARISHA HEWA
Misitu ya mvua inasaidia kuimarisha hewa ya ulimwengu kwa kunywa dioksidi ya kaboni. Dioksidi ya kaboni ya kupita kiasi inaaminiwa kuchangisha kwa ubadilishaji wa hewa kwa kuongeza joto duniani. Basi misitu ya mvua ni muhimu kwa kukabili ongezeko ya joto duniani.
Misitu pia inaathiri hali ya hewa ya eneo kwa kutengeneza mvua na kupoesha joto.
Na Rhett A. Butler
|
|