|
|
|
MISITU YA MVUA NI MAKAO YA MEMEA NA WANYAMA
Misitu ya mvua ni makao ya aina nyingi ya memea na wanyama wa dunia ikiwamo viumbo venye hatarini. Vile misitu inakatwa viumbo mingi inapotea. Viumbo vingine vya msitu wa mvua zinaweza tuu kuishi kwa mazingira yao ya kiasili. Zoo haziwezi kuokowa wanyama wote.
Na Rhett A. Butler
|
|