|
|
|
MISITU YA MVUA INASAIDIA KUIFADHI MUHULA WA MAJI
Misitu ya mvua inasaidia kuifadhi muhula wa maji. Kulingana na Marekani Uchunguzi wa Jiografia, �muhula wa maji inayojulikana pia kama muhula wa hydrologic, inaeleza mwendo unayoendelea wa maji juu, chini, na kwa sakafu ya ardhi.�
Kazi ya misitu ya mvua kwa muhula wa maji ni kuongeza maji angani kupitia njia ya kutoa mvuke (ambapo wanatoa maji kutoka majani yao wakati wa usanidinuru). Hii mvuke inachangia kwa kuunda mawingo ya mvua inayorejesha maji kwa msitu wa mvua. Amazon, asilimia 50-80 ya mvuke inabaki kwa mfumo wa mazingira wa muhula ya maji.
Miti ikikatwa mvuke unaponguka kwa angani na mvua inapungua na saa zingine inaleta ukame.
Na Rhett A. Butler
|
|