|
|
|
MISITU YA MVUA INAPUNGUZA UTEREMEKO WA UNDOGO
Mizizi ya miti ya msitu wa mvua na memea inasaidia kutenga undogo. Miti ikikatwa hakuna kinga ya ardhi na undogo unaoshwa haraka ni mvua. Hii njia ya kuosha undogo inaitwa uteremeko wa undogo.
Vile undogo inaoshwa kwa mito inaleta shida kwa samaki na watu. Samaki zinaumia kwa sababu maji inachafuka na watu wanakuwa na tabu ya kuongoza chombo majini kwa sababu urefu wake unapungua kwa sababu ya ongezeko ya uchafu majini. Vilevile wakulima wanapoteza undogo wa juu ambayo ni muhimu kwa kukuza memea.
Na Rhett A. Butler
|
|