|
|
|
MISITU YA MVUA INAHARIBIWA KWA NINI?
Kila mwaka eneo ya msitu wa mvua inayolingana na New Jersey inakatwa na kuharibiwa. Memea na wanyama walioishi kwa hiyo misitu wanakufa au lazma wapate msitu mpya wa kuita nyumbani. Misitu ya mvua inaharibiwa kwa nini?
Binadamu ni chanzo kubwa ya uharibifu wa msitu ya mvua na upunguzi wa misito. Binadamu wanakata misitu ya mvua kwa sababu nyingi, ikiwamo:
- miti ya mbao na miti ya kuni;
- ukulima wa shamba ndogo na kubwa;
- ardhi kwa wakulima maskini ambayo wana mahali nyingine ya kuishi;
- mahali ya kulisha ngombe; na
- utengezaji wa barabara
Na Rhett A. Butler
|
|