Svenska



KUKATA NA KUKUSANYA MITI KWA MSITU WA MVUA

Sababu moja ya uharibifu wa msitu wa maji ni ukataji wa miti. Aina nyingi ya mbao ya samani, sakafu na ujenzi inavunwo kutoka misitu ya tropiki ya Afrika, Asia na Amerika Kusini. Kwa kununua aina zingine ya vyombo ya mbao mahali kama Marekani inachangia kwa uharibifu wa misitu ya mvua.

Ingawaje kukata miti inaweza kuendelea na utaratibu ambayo inapunguza uharibifu wa mazingira, kukuta miti kwingi ndani ya msitu wa mvua unafanwo kwa uharibifu sana. Miti kubwa inakatwa na kuburutwa msituni na barabara zinafungulia wakulima maskini eneo mbali ya msitu kwa ukulima. Africa wakatamiti wanategemea nyama ya msitu kwa protini. Wanawinda wanyama kama sokwe, swala na sokwe mtu kwa chakula.

Utafiti unaonyesha kwamba aina ya wanyama inayopatikana kwa msitu unaokatwa miti na chini ya nambari inayopatikana kwa msitu usioguzwa. Wanyama wengi wa msitu wa mvua hawawezi kuishi kwa mazingira hii imeyobadilika.

Wenyeji mara mingi wanategemea uvuno wa miti ya msitu wa mvua kwa kuni na vifaa ya ujenzi. Mbeleni matendo kama haya haikukuwa hatari sana kwa mfumo wa mazingira. Lakini sasa kwa eneo ambazo zina ummati kubwa wa watu, watu wale wanaokota miti kutoka eneo ya msitu ya mvua wanaweza kuleta uharibifu mkubwa Kwa mfano misitu inayopakana na kambi ya wakimbiaji katikati ya Afrika (Rwanda na Congo) ziming�olewa karibu miti yote kwa eneo zingine.




Na Rhett A. Butler




Home | Kila Kitu Kuhusu | English | PDF

�2007 Rhett Butler