SvenskaUKULIMA NDANI YA MSITU WA MVUA

Kila mwaka maelfu ya maili ya msitu wa mvua inaharibiwa kwa nia ya ukulima. Vikundi viwili ambayo inachangilia kubadili msitu wa mvua kuwa shamba ni wakulima maskini na mashirika.

Wakulima maskini mahali mingi ya dunia wanategemea kukata miti kulisha jamii zao. Bila njia ya kupata ardhi bora zaidi ya ukulima hawa watu wanatumia kukata na kuchoma kung�oa vipande ya msitu kwa muda mfupi. Kawaida wanalima ardhi walichokoa kwa miaka kadhaa kabla ya unono wa ardhi kuisha na kuwalazimisha kuhama kwengine.

Mashirika ya ukulima yana ondoa msitu wa mvua kuliko zamani, sana sana Amazon ambapo akari kubwa ya msitu wa mvua inabadilishwa kuwa mashamba ya maharagwe ya soya. Wataalamu wengine wanaamini kuwa siku moja Amerika kusini itakuwa na mashamba kama yale ya katikati magharibi ya Marekani. Mengi ya mashamba haya kubwa intatoka kwa msitu wa mvua wa Amazon.
Na Rhett A. Butler
Home | Kila Kitu Kuhusu | English | PDF

�2007 Rhett Butler