Svenska
Peru


NGOMBE NDANI YA MSITU WA MVUA

Kukati miti kwa sababu ya shamba za kulisha ngombe ni sababu kubwa ya uharibifu wa msitu wa Amazon na Brazil sasa inatoa nyama nyingi kushinda hapo awali. Mbali na kulisha ngombe kwa chakula wamiliki ardhi wengi wanatumia ngombe kuongeza shamba zao. Kwa kuweka ngombe zao tu kwa sehemu yam situ, wamiliki ardhi wanaweza kupata haki ya umiliki wa ardhi.
Na Rhett A. Butler
Home | Kila Kitu Kuhusu | English | PDF

�2007 Rhett Butler