|
|
|
UJENGAJI BARABARA NDANI YA MSITU WA MVUA
Ujengaji njia na barabara ndani ya msitu wa mvua ufungulia sehemu kubwa kwa maendeleo. Barabara ya Trans-Amazonia, Brazil ilichangia kwa uharibifu wa eneo kubwa ya msitu ni wakoloni maskini, wakata miti na wabahatishaji wa ardhi. Africa barabara za kukata miti zinapeya nafasi jangili ambao wanawinda wanyama waliko hatarini kwa sababu ya nyama ya kichaka wanayouziya wakaaji wa miji.
Na Rhett A. Butler
|
|