|
|
|
CHANGIYO YA UMASKINI KWA UHARIBIFU WA MSITU
Umaskini unachangia sana uharibifu wa misitu. Misitu ya mvua ya dunia inapatikana kwa eneo maskini zaidi ya ulimwengu. Watu wanao kaa ndani na karibu na misitu ya mvua wanategemea mifumo ya mazingira kwa maisha yao. Wanakusanya matunda na mbao na wanawinda wanyama kwa kuweka nyama mezani na wanalipwa na mashirika kusanya rasilimali kutoka sehemu ya msitu.
Watu wengi maskini wa mashambani njia zile sisi wa nchi za magharibi wana chukuwa kama kawaida. Hawa watu ni ngumu wakipata nafasi ya kuenda chuo au kuwa daktari, mfanyi kazi wa kiwanda au katibu. Lazima waishi kutoka ardhi inayowazunguka na watumie rasilimali yoyote wanaopata. Umaskini wao ni gharama kwa dunia nzima kutokana na hasara ya misitu ya mvua na wanyama. Mbila kujaliya hawa watu misitu ya mvua haiwezi kuokolewa.
Na Rhett A. Butler
|
|