Svenska
Peru


COMMENT POUVONS-NOUS SAUVER LES FORETS HUMIDES ?

Misitu ya mvua inaisha haraka sana. Habari njema ni kwamba kuna watu wengi wanataka kuokoa misitu ya mvua. Habari ngumu ni kwamba kuokoa misitu ya mvua itakuwa rahisi. Itachukua bidii ya watu wengi wakifanya kazi pamoja kuhakikisha misitu ya mvua na wanyama wao itakuwa kwa watoto wako kufurahiya na kushukuru.

Njia zingine za kuokoa misitu ya mvua na kwa kiwango kubwa mifumo ya mazingira duniani ni tia maanane kwa �MITI�
  • Semesha wengine juu ya umuhimu wa mazingira na vile wanaweza kusaidia kuifadhi misitu ya mvua.
  • Rejesha mifumo ya mazingira iloyo haribiwa kwa kupanda miti kwa ardhi ambapo misitu imekatwa.
  • Himiza watu wakae kwa njia ambayo haihasiri mazingira
  • Anzisha mbuga zaa kulinda misitu ya mvua na wanyama
  • Unga mkono mashirika inayotenda mambo kwa njia ambayo inapunguza uharibifu wa mazingira.

Na Rhett A. Butler
Home | Kila Kitu Kuhusu | English | PDF

�2007 Rhett Butler