SvenskaKUOKOA MISITU YA MVUA NA ELIMU

Elimu ni sehemu muhimu ya kuifadhi misitu ya mvua ya ulimwengu. Watu lazima waone urembo na waelewe umuhimu wa hii misitu ndivyo watake kuilinda. Elimu ya mazingira inatakiwa nchi za magharibi kama Marekani na nchi zilizo na msitu wa mvua kama Bolivia na Madagascar.

Marekani, watu wanatakiwa waelewe mchangio wao kwa upotefu wa misitu ya mvua. Kwa mfano kununua vyombo vingine kama mahogany zinachangia kwa kukata miti ya misitu ya mvua nchi zingine. Wamarekani wakijitahidhi kuelewa mambo ya mazingira tunaweza kuelewa ile tunapoteza msitu wa mvua ukipoteya. Tunaweza kuamua kununua vifaa na kuunga mkono mashirika na vikundi zinayosaidia msitu wa mvua.

Kwa nchi za msitu wa mvua watu saa zingine waelewi umuhimu wa misitu. Kwa njia ya mipango ya elimu hawa watu wanaweza kujua kwamba misitu zinapeyana huduma muhimu kama (maji safi) na ni makao ya memea na wanyama isiyopatikana mahali pengine duniani. Watoto wachache mahali kama Madagascar wanafahamu kwamba Lemurs zipatikani Marekani. Unafurahi ukielewa kwamba Lemurs zinaishi Madagascar pekee.
Na Rhett A. Butler
Home | Kila Kitu Kuhusu | English | PDF

�2007 Rhett Butler