SvenskaKARABATI NA REJESHA MISITU YA MVUA

Tukijaribu kuifadhi misitu ya mvua tunahitaji kuangalia vile misitu iliyoharibiwa inaweza kurejeshwa kwa afya. Hata kama kurejesha msitu wa mvua haiwezekani misitu ya mvua yaweza kurudi baada ya kukatwa �- sana sana kama inausaidizi wa kupanda miti. Saa zingine inawezekana kutumia ardhi iliyokatwa miti kwa ukulima bora ndiye iweze kupeya watu wa karibu chakula. Hawa watu wakiwa na chakula watahitaji kukata msitu tena kupanda mimea.

Eneo moja yenye mafanukio inaangalia jamii za zamani za msitu wa Amazon kabla ya kuasiri kwa wazungu karne ya 15. Inaonekana hawa watu waliweza imarisha undogo wa msitu wa mvua, ambaye haikuwangi nuno sana kwa kutumia makaa na mafupa ya wanyama. Kwa kuongeza ubora wa ardhi eneo kubwa ya Amazon ambaye imekatwa miti inaweza kutumiwa kwa ukulima. Hii inaweza kupunguza mkazo wa ardhi kwa eneo yam situ wa mvua kwa mambo ya ukulima. Pia undogo wa �terra preta� kama inaitwa inaweza kutumiwa kusaidia kupambana na ongezeko ya joto duniani kwa sababu inakunywa dioksidi ya kaboni, gasi muhimu ya greenhouse.
Na Rhett A. Butler
Home | Kila Kitu Kuhusu | English | PDF

�2007 Rhett Butler