Svenska
Madagascar


HIMIZA WATU WAKAE KWA NJIA AMBAYE HAIHASIRI MAZINGIRA

Sehemu moja muhimu ya kuifadhi misitu ya mvua na mazingira ni kuhimiza watu wote wakae kwa njia ambazo zina hasiri dunia yao kidogo. Kuendesha gari fanisi, kuifadha maji, kuzima taa usiyotumia na kurejesha vyomba ni njia ambaye jamii yako inaweza kupunguza athari yenu kwa mazingira.

Nawezakufanya nini kusaidia mazingira?

Kwa nchi ya msitu wa mvua wasayansi wengi na mashirika zinafanya kazi kusaidia wenyeji waishi kwa njia zinazo punguza uharibifu wa mazingira. Watu wengine wanaita hii �maendeleo ya kudumisha� Maendeleo ya kudumisha inalengo ya kuboresha maisha ya watu na pia kuifadhi mazingira. Bila kuboresha maisha ya watu waokaa ndani na karibu ya misitu ya mvua itakuwa ngumu sana kuifadhi mbuga na wanyama. Kuifadhi mazingira lazima iwe ya mafanukiyo kwa wenyenji ndivyo mbuga zifaulu.
Na Rhett A. Butler
Home | Kila Kitu Kuhusu | English | PDF

�2007 Rhett Butler