Svenska



ANZISHA MBUGA ZAA KULINDA MISITU YA MVUA NA WANYAMA

Kuunda eneo zimeyolindwa kama mbuga za taifa ni njia nzuri ya kuifadhi misitu ya mvua na mifumu nyengine ya mazingira. Eneo zimeyolindwa ni sehemu ambaye zinapewa ulinzi kwa sababu ya umuhimu wa mazingira au utamaduni wao. Kwa jumla eneo zimeyolindwa zinasimamiwa na serikali na inatumiwa ulinzi wa askari wa msitu kuhakikisha sheria za mbuga na kulinda kutoka mambo ya uhalifu kama kuwinda na kukata miti.

Mbuga za sasa zinalinda nyingi ya viumbo vya dunia ambayo iko hatarini. Wanyama kama Panda wanapatikana tu eneo zimeyolindwa.

Mbuga zinafanikiwa zaidi kama zinaugwo mkono na wanyeji waoishi karibu na eneo imeyolindwa. Wenyeji wakishugulika na mbuga wanaweza kuunda �Ulinzi wa jamii� kulinda mbuga kutoka kwa kukatwa miti na ujangili.

Njia mwafaka ya kuifadhi misitu ya mvua ni kuhuzisha wenyeji kwa usimamizi wa mbuga. Wenyeji wanaelewa zaidi juu ya msitu kuliko watu wengine na wanamanufaa ya kuifadhi mfumo wa mazingira yenye rutuba inayowapatia chakula, makao na maji safi. Utafiti umegundua kwa kesi zengine �vijiji vya wenyenji� zinaweza kuifadhi msitu wa mvua vyema kushinda �mbuga ya taifa� Amazon.

Mbuga pia zinaweza kusaidia uchumi wa nchi za msitu wa mua kwa kuvutia watalii ambayo wanalipa ada ya kuingia na wanaajiri waongozi wa porini na wananunua vyombo kama vikapu, shati na bangili zilizo na makete.




Na Rhett A. Butler




Home | Kila Kitu Kuhusu | English | PDF

�2007 Rhett Butler