Svenska
Panama.


UNAWEZA KUFANYA NINI NYUMBANI KUSAIDIA MAZINGIRA

Kuna vitu kadhaa unaweza kufanya nyumbani kusaidia kupunguza uathiri wako kwa mazingira.
  • Zima taa usiyohitaji. Balbu ikichomeka badilisha na balbu zinayohifadhi kawi
  • Usipoteze maji.
  • Tumia vitu tena.
  • Himiza wazazi wako wapeleke gari zisiyo kunywa mafuta mengi na wasiweke nyumba joto kuliko kiasi.
  • Usiwashiliye wanyama wako waende kama hauwataki tena. Mbele ya kununua mnyama wa nyumbani hakikisha utaituza. Kuwa na mnyama wa nyumbani ni wajibu.
      Mambo unaweza fanya kusaidia kuifadhi misitu ya mvua:
  • Usinunue bidhaa ziliyotengezwa na nguzi za wanyama wa pori
  • Usinunue wanyama wa kigeni wameokotwa porini. Unaweza kuuliza duka za wanyama wa nyumbani kama wanyama walichikwa porini au walilewa. Wanyama wa kulewa hawathiri mazingira sana Nunua karatasi imeyotengezwa na mabaki au marudio.
  • Usinunue vifaa vya mbao kutoka Indonesia, Malaysia, Brazil au Afrika mbali tu ujue zimetoka kwa mgawaji anayotuza mazingira. Njia nzuri ya kujua kama mbao ni haiathiri msitu wa mvua ni kama ina cheti ya kuhakikisha. Mfano ni cheti ya FSC ambaye inamaanisha mbao inatoka kwa misitu inayosimamiwa kwa njia nzuri.
  • Soma juu ya misitu ya mvua na memea na wanyama wanayo kaa ndani yake. Ambiya marafiki na wazazi umuhimu wa misitu ya mvua.




    Na Rhett A. Butler




  • Home | Kila Kitu Kuhusu | English | PDF

    �2007 Rhett Butler